Ndugu msomaji leo nitakuletea kitu kipya na chenya manufaa sana ukikizingatia,hizi ni aina ya ng'ombe wa maziwa waliopo duniani
MAMBO YA KUZINGATIA KWENYE UCHAGUZI WA NG'OMBE MZURI WA MAZIWA
Umbo : siku zote ngo'mbe wa maziwa anatakiwa awe na umbola pembe tatu, humpless pia awe na miguu imara pamoja na tumbo kubwa kwa sababu ng'ombe mwenye tumbo kubwa anaweza kula sana na kutunza chakula kingi.na chakula kingine kinabadilishwa na kua maziwa.hivyo ng'ombe mwenye tumbo kubwa anauwezo wa kutoa maziwa mengi sana.
Kiwele na chuchu: siku zote ng'ombe mzuri wa maziwa anakiwele kizuri kimeshika vizuri kwenye mwili na kiwele kizuri hua kinabonyea kama spongy.na pia kiwele na chuchu vinatakiwa kua kubwa.
Rangi ya mwili : sikuzote ng'ombe mzuri wa maziwa anarangi moja au mbili tu kwenye mwili wake e.g brown, red white and black.
Asili : siku zote ng'ombe mzuri wa maziwa anatokea katika maeneo yenye hali ya hewa ya kati e.g Holland, Switzerland, Scotland and other part of Europe and Asia.
AINA ZA NG'OMBE WA MAZIWA
Kuna makundi mawili ya ng'ombe kuna wa nyama pamoja na wamaziwa. na kuna aina nyingine pia ni wazuri kwa nyama pamoja na wamaziwa mfano mpwapwa na sahiwal.
hizi hapa na aina za ng'ombe wa maziwa
- Holstein Friesian
- Brown swiss
- Ayrshire
- Guernsey
- Jersey
- Mpwapwa
- Sahiwal
- Red pollAINA ZA NG'OMBE WA MAZIWA NA SIFA ZAKE
1.HOLSTEIN FRIESIAN
Hii ni aina ya ng'ombe wa maziwa ambayo ni kubwa kuliko aina zote
SIFA- Asili yake ni Holland
- wanamabaka meupe na meusi
- maziwa yao yana mafuta kiasi cha 3.5%
- wanatoa maziwa mengi 6000 liters kwa kila msimu wa kukamua
- watoto wake wanazaliwa wakiwa na 40 kg na zaidi.
- jike anauzito wa 400-600kg na dume 600-1000kgs
- BROWN SWISS
Hii ni kati ya aina za zaman sana, ili gunduliwa katika milima ya Switzerland?
SIFA- Wame gunduliwa Switzerland
- hii ni aina nzito inayo fuata baada Friesian
- wanalangi ya brown inayo koza
- niwapole
- uzito wa jike 450-550kg na dume 600-900kgs
- AYSHIRE
Hii ni aina kubwa inayo fata baada yaFriesian na brown Swiss
SIFA
Niwakubwa zaidi ya jersey na Guernsey
wanarangi nyekundu kuelekea mahogany mchanganyiko na nyeupe
asili yao ni South west Scotland
maziwa yao yanamafuta 4%
wanachuchu na kiwele kizuri sana- Guernsey
SIFA
wanatoa maziwa yenye langi kama ya dhahabu
wanarangi nyeupe na nyekundu
maziwa yao yanamafuta 4.5%
wanatoa maziwa 4200litres kwa msimu mmoja wa kukamua
uzito wa jike 450-500kgs na dume 600-700kgs- Jersey
hii ndo aina ndogo kuzudi zote
SIFA- asili yao ni visiwani kati ya UK na France
- maziwa yao yanamafuta kuzidi wote 5%
- wanarangi ya blackish brown
- uzito wa jike 400-450kg dumeto 500-600kgs.
asante mpenzi msomaji endelea kua na mimi upate kujifunza mengi kwa tasinia ya kilimo pamoja na ufugaj
0 comments:
Chapisha Maoni