
Matumizi ya rutuba kwenye udongo } Mimea huchukua /huondoa virutubisho kutoka kwenye udongo kupitia kwenye mizizi. } Virutubisho vinavyotumika na nafaka kama (ngano, mahindi, mpunga, n.k) inageuzwa kuwa punje na sehemu kwenye masalia ya mimea. } Kwa upande wa mahindi ,kwa kila kilogramu 1000 ya mazao...