
kilimo cha ngano na faida zakeUtangulizi:Hapa nchini, zao la ngano linalimwa zaidi katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Manyara, kwa upande wa kaskazini na Iringa, Mbeya na Rukwa kwa upande wa kusini. Ngano ni zao la tatu la umuhimu la chakula hapa nchini. Bidhaa mbalimbali za chakula zinazotengenezwa...