• TANZAKILIMO TANZANIA

    Pata taarifa sahihi kuhusu kilimo na ufugaji,kwa weledi wa hali ya juu

  • WATAALA WA KILIMO NA UFUGAJI

    Tunakupatia ushauri wa kitaalam katika maswala yote ya kilimo na ufugaji,toka kwa wataalam wetu waliobobea kwenye nyanja nzima ya kilimo. Wasiliana nasi kwa simu namba +255 675 117 151.

  • UNATAFUTA MASOKO YA MAZAO YAKO? UNATAFUTA MAZAO YA KUNUNUA?

    Tanzakilimo inakuunganisha na wakulima/wanunuzi na wadau wote wa maswala ya kilimo. Wasiliana nasi leo tukuunganishe na wadau....

Jumatano, 15 Septemba 2021

Je, unafahamu sababu za kuku wako kutaga mayai madogo!

Je, unafahamu sababu za kuku wako kutaga mayai madogo!Mara nyingi wakati tupofuga mifugo yetu, huwa tunategemea matokeo chanya. Kinyume na hapo basi kuna sababu inayozuia kufikia malengo yetu. Kuna wakati kuku wetu wa mayai hutaga mayai madogo sana kupita ilivyo kawaida ama matarajio yetu. Ukiona hivyo,kuna...

Jumatatu, 13 Septemba 2021

Maajabu ya Tikiti maji- Jinsi ya kupanda na kuvuna

...

Fahamu sifa, faida na changamoto za ufugaji kuku wa asili

Kuku wa asili ni aina ya kuku ambao wamekuwepo nchini kwa muda wa miaka mingi na damu au koo zao hazikuchanganywa na aina yeyote ya kuku wa kienyeji. Kuku hawa wana rangi na maumbo mbalimbali.Kwa kawaida ufugaji wa kuku wa asili nchini Tanzania hufanywa na wafugaji wadogo wadogo wanaoishi kandokando...