
Je, unafahamu sababu za kuku wako kutaga mayai madogo!Mara nyingi wakati tupofuga mifugo yetu, huwa tunategemea matokeo chanya. Kinyume na hapo basi kuna sababu inayozuia kufikia malengo yetu. Kuna wakati kuku wetu wa mayai hutaga mayai madogo sana kupita ilivyo kawaida ama matarajio yetu. Ukiona hivyo,kuna...